Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,883
- 5,187
- Thread starter
- #41
Wamarekani wana nguvu, wamewazunguka Iran, Sasa kipi kinachowazuia kuishambulia hilotaifa ? Maana wamewawekea vikwazo miaka nenda miaka rudi.... Wamezishusha ndege nyuki Zao "drone" n.k . Trump alipiga mkwala ila hatimaye kimya. Siyo Kila nchi inaweza kuvamiwa .... Jiulize kwa Ninì ?