Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mimi mwenyewe nilishtuka aise, four goal in twenty mins. duh.. Lakini hii ya kuuana ni ushenzi, yani upatiwe life juu ya Arsenal, he got his priorities jumbled up.
...afu sasa timu zenyewe hata sio local clubs. Mambo ya Uingereza huko afu jamaa wanakatana visu Kenya. MwenzioHuu ushabiki wa majirani sasa umevuka mpaka. Mwaka jana kuna mshabiki wa Arsenal (John Macharia, 28) alijiua baada ya Arsenal kulala 1-0 kwa Man U. Mwaka 2009 the same, (Suleiman Omondi, 29) alijiua kwa sababu kama hizo. Jamani mpira uishie kwenye kushabikia tu, tafadhali sana tusijitoe uhai.
...afu sasa timu zenyewe hata sio local clubs. Mambo ya Uingereza huko afu jamaa wanakatana visu Kenya. Mwenzio
sina usemi.
Huu ushabiki wa majirani sasa umevuka mpaka. Mwaka jana kuna mshabiki wa Arsenal (John Macharia, 28) alijiua baada ya Arsenal kulala 1-0 kwa Man U. Mwaka 2009 the same, (Suleiman Omondi, 29) alijiua kwa sababu kama hizo. Jamani mpira uishie kwenye kushabikia tu, tafadhali sana tusijitoe uhai.
Ushabiki umepitiliza kweli maana huu mfululizo wa kujiua/kuua ni ujinga wa hali ya juu. Khaaah!!
Nasubiri kusikia mashabiki wa Man U nao wakijitia vitanzi awamu hii.
Mashabikia wa Mau U tuna maumivu ila kujiua hapana aisee..he he! Halafu wewe mchokozi kweli maana umeona jinsi timu yangu inavyovurugwa sasahivi.