Usha flirt naye sana

Unapo kutana nae nje ya ofisi si utakuwa social tu. Hata kama kiumri ni a granny. Be cool and less embarassed. Best ni kusocialise.
 
nipo shosti kazi mingi na shem wako usiku anakabaaaa

hahaha alaa kumbee.
pole na kazi dia, afu regards kwa shemu anakabana mpaka penalty duuh vzr lkn.
ila si anakuona mtoto mwenyewe bila kukukaba mmh ameliwaa.
 
hahaha alaa kumbee.
pole na kazi dia, afu regards kwa shemu anakabana mpaka penalty duuh vzr lkn.
ila si anakuona mtoto mwenyewe bila kukukaba mmh ameliwaa.
mimi eeeh akigeuka tu ishakula kwake shosti
 
Na kubaya zaidi anaflirt na mjukuu wangu mrembo Smile.......... hatari sana hii!

Mkuu huyo Jamaa kuna Jukwa moja hiv yan ni Full ku Bore watu kwa Cra Crap zake za Mara kwa Mara
 
hii ikirudi leo sio mbaya!
ntanuniwaje lakini!
poa tu
 
Usicheke...
Tehteh si nimekumbuka tu yule workmate wangu nilofuma I'd yake [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
unafanya kinachopaswa kufanywa baada ya ku-flirt muda mrefu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…