halafu yani ukiendelea kuwa kimya unaweza ukakuta hata mimi nimesha pita hapo manake hua ninajikubali kwenye ishu hizo kinyama yani...! so kama unataka kuniona wewe subiri tu utashangaa anachata kwenye titi "DRILLER" hapo ndo akili itakujia nadhani...!
piga chini huyooooooooooooooooo.....! khaaaa...!! mwe hadi sauti yangu imekauka..!