Needed call 0712868178
nakupa xbox 360 complete namaanisha in a controller na kila kitu au xbox 360 complete including kinetic kea 450,000
CJAGUO NI LAKO……….
kinect yeneywe?[/QUOTE
Kinect yenyewe aiendi pekeyake mkuu…! kamata kitu kamili hiyo…!
Samahani waungwana hyo makitu ni nini na inafanya kazi gani?