Used Xbox 360

vaikojoel

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,042
2,000
i got one...300k on sale
nakupa na 3 cds but controller sikupi..ndo mana nakufanyia 300k...
 

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,914
2,000
Ipo ila bei 500000 haipungui. Nakupa controller na game nne
 

vaikojoel

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,042
2,000
IMG_4521.JPG
 

vaikojoel

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,042
2,000
yangu iyo apo,,hehe kumbe utu tuvitu beii,,,basii namimi napanda...350k fixed bila controller ...cd 3 izo
0787 408180
 

chokamb

Member
May 29, 2012
74
0
mininayo ipo complete na vitu vyake pamoja na kinect yake 360gb memmory yake na ni latest bei ni 800,000 ila cd sikupi
 

mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,014
1,195
Samahani waungwana hyo makitu ni nini na inafanya kazi gani?

Kinect ni kitu kama camera lkn yenyewe ni ndefu na nyembamba ambayo unaweka juu ya tv yako na kuichomeka kwenye xbox 360, kazi ya ni kutumia baadhi ya viungo vyako vya mwili kama mikono kuchezea game za xbox za tennis, ngumi, kuendesha magari, miguu unaweza ukatumia game za kucheza mpira yaani kwa technology inatumika badala ya controller za xbox unatumia mwili wako kiunganishi kikiwa hiyo kinect…Nadhani utakuwa umenifahamu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom