Used Subaru for sale

Used Subaru for sale

Mkinyigwite

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
61
Reaction score
3
Gari aina ya subaru inauzwa used CC 1990 imetembea kilomita 94,000 six cylinder na ni turbo bei n million 11....... Picha simu inazngua ku apload!!! Ila kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba hii 0715607800
 
Picha hizi hapa
 

Attachments

  • IMG-20150402-WA0005.jpg
    IMG-20150402-WA0005.jpg
    93.3 KB · Views: 688
  • IMG-20150402-WA0004.jpg
    IMG-20150402-WA0004.jpg
    90.8 KB · Views: 656
  • IMG-20150402-WA0003.jpg
    IMG-20150402-WA0003.jpg
    49.6 KB · Views: 606
  • IMG-20150402-WA0002.jpg
    IMG-20150402-WA0002.jpg
    55.4 KB · Views: 614
Mil 7 tufanye biashara mkuu, nimekapenda nimnunulie my wife wangu!
 
Daaaahhhh ongeza mkuu!! Kitu kipo vizur hicho c unakiona mwenyewe mkuu
 
Hapana mkuu hiyo ina six cylinder hvyo hvyo na ndio ilizonazo!!!
 
6 cylinder!!!!!!?? Ebu check vizuri kuu maana cc ya iyo mashine na cylinder haziendani ata kidogo anyway
 
Fanya nane mkuu tupige mishe namba yangu hii hapa nicheki 0715607800
 
unataka 11 kwa old forester? iyo 7 km jamaa yupo serious mkubalie
 
tatizo la dalali ukimpa gar auze kwa 7 yy atataka 10 afu mwisho wa cku gari inakudodea!
 
Hio bei kwa subaru forester huwezi uza tena turbo? mkubalie alietoa 7m mfanye biashara
 
Back
Top Bottom