Used seiko 5 original ya japan

Used seiko 5 original ya japan

Binjilou

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
32
Reaction score
5
Hapa ninaongelea SEIKO 5 ninamaanisha SEIKO 5 ORIGINAL.

Zipo copy nyingi sana za hii saa madukani.

Hizo utauziwa kwa bei yoyote ile.... lakini sio kwa ORIGINAL.

Ukitaka kujua SEIKO ORIGINAL sio ya mchezo mchezo tembelea BABLA POSTA ndio utajua.

Ya kwangu naiuza kwa 200,000 tu.

- Saa ni AUTOMATIC haitumii betri

- Saa ni WATERPROOF haiingizi maji

- Saa inadumu miaka na miaka

- Hapana kuchezea na SEIKO 5 ORIGINAL

TUWASILIANE 0659 358 599

887acc373ff3ce75aeeee44a0598e9f0.jpg
IMG-20171216-WA0025.jpg
IMG-20171216-WA0026.jpg
 
Shid ni kujua hii yako ni copy au OG,maana hata huko madukani hua tunaambiwa ni OG kumbe ni copy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom