Watu wengine hata sio wa kuwajibu. Mtu ameandika all the details , yeye anakuja na maswali ya size gani utadhani haijaandikwa .....!Nimeona kasema Inch 40
Nadhani sometimes tunavusha kusoma details ndiyo sababu mtu anaangalia picha tu na kuachia comment 🤔Watu wengine hata sio wa kuwajibu. Mtu ameandika all the details , yeye anakuja na maswali ya size gani utadhani haijaandikwa .....!
Amejiuzia mwenyewe!Bado ipo ama ushauza
Mwisho ni 550k Wakuu
Hii TV ina umri gani?
500k nipo hapahapa mbezi