inadepend na unachonunua, jinsi kinavyokua kizito ndio dhl na fedex zinakula hela nyingi. Kitu kama laptop kubwa hadi desktop watakata malaki ya pesa hadi mamilioni kusafirisha. Even kwako wewe decoder cost ya kuileta na dhl pamoja na kodi inaweza kuzidi laki 2 hivyo utakuta usaifiri tu unazidi thamani ya kifaa.
Kama unasafirisha kitu chepesi sio mbaya maana jamaa wapo fast, around wiki unapata kitu chako.
Kama kitu ni kizito posta au kampuni za mizigo zinazobeba na meli ndio zinafaa, bei ni rahisi ila vinachukua muda kufika. Sometime inaweza chukua zaidi ya mwezi