used computers za apple

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
wana jf heshima zenu,ningeomba kuuliza hapa tz ni wapi zinauzwa used computers za apple aina ya imac na kama zipo mnijuze ni kama bei gani!!! Natanguliza shukrani zangu
 
Nilishaziona Maduka ya Used Computer Kariakoo Karibu na Kanisa Maeneo ya kona na Agrey Street... Long Time ila Wanaweza wakawa nazo Bado ila Bei si chini ya Laki 5 pindi hicho... ukifika pale utapata au watakuelekeza
 
Back
Top Bottom