Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,789
Habari. Naomba kufuhamishwa juu ya haya magari used yanayouzwa japan na kwengineko hasa yenye bei za chini sana kama USD 100 na kuendelea, je ubora wake upoje? kodi yake ukiagiza inakuwaje? maana mm naona hii bei inatamanisha sana hata kwa kutizama picha za hayo magari unaweza shawishika kununua.