John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 837 Reaction score 1,290 Oct 27, 2012 #1 HABARI JF MEMBA, Mimi natafuta bidhaa inayofanana na hizo picha ili niweze kuangalia tv channel kupitia mawimbi ya satelite kwenye kompyuta yangu. Naomba kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza pata hiyo tv tuner device hapa Tanzania anisaidie. Natanguliza shukran!
HABARI JF MEMBA, Mimi natafuta bidhaa inayofanana na hizo picha ili niweze kuangalia tv channel kupitia mawimbi ya satelite kwenye kompyuta yangu. Naomba kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza pata hiyo tv tuner device hapa Tanzania anisaidie. Natanguliza shukran!
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 520 Oct 27, 2012 #2 Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote.
Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Oct 28, 2012 #3 bonna said: ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand... muongo
bonna said: ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand... muongo
John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 837 Reaction score 1,290 Oct 28, 2012 Thread starter #4 bonna said: Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand... shukran kwa ushikiano wako mkuu. Nafikiri hiyo yako haitanifaa.
bonna said: Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand... shukran kwa ushikiano wako mkuu. Nafikiri hiyo yako haitanifaa.
Bahati furaha JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 3,077 Reaction score 1,439 May 28, 2018 #5 Hivi hizo tuner hazihitaji dishi? bonna said: Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand...
Hivi hizo tuner hazihitaji dishi? bonna said: Ninayo...nicheki 0753557009....unafanya testing kabisa..ila antenna yangu ndefu...antenna fupi hivo hapa dar hupati channel yoyote. Click to expand...