USB modem k3570-z

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
643
153
Habari jf.Nime uninstall firmware ya modem yangu tatizo linalopelekea modem kutoonekana ktk pc yangu.Kwa yeyote mwenye firmware hiyo naomba anifanyie attachment kwenye thread hii.Thnx
 
hey i had the same problem but finally nimefanikiwa kupata the right dash board for it...check me through my Fb account anoldmax for details n wil attach it to you .....
 
hey i had the same problem but finally nimefanikiwa kupata the right dash board for it...check me through my Fb account anoldmax for details n wil attach it to you .....
Kamanda ungetoa link hapa hapa ingekuwa njema zaidi na kwa memba wengine wenye tatizo kama hilo kuliko kuipeleka FB
 
Jamani wakuu tatizo langu halijapata ufumbuzi.waungwana msaada plse!
 
<br />
<br />
 
<br />
<br />
nimefanikiwa kudownload na kuinstall successfully lkn bado modem haisomeki.thnx 4 ur concern.
 
Ndugu at last nimefanikiwa kuihuisha modem yangu.Mwanzoni iliniwia vigumu kidogo nikate tamaa.Tatizo nililogundua ni kwamba nilisahau kufanya uninstallation kwanza ya existing dashboard.Sasa na2mia device yangu freely,my thanks 2 u is beyond comparison.
 
Pamoja mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…