USB modem k3570-z

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
642
153
Habari jf.Nime uninstall firmware ya modem yangu tatizo linalopelekea modem kutoonekana ktk pc yangu.Kwa yeyote mwenye firmware hiyo naomba anifanyie attachment kwenye thread hii.Thnx

hey i had the same problem but finally nimefanikiwa kupata the right dash board for it...check me through my Fb account anoldmax for details n wil attach it to you .....

Kamanda ungetoa link hapa hapa ingekuwa njema zaidi na kwa memba wengine wenye tatizo kama hilo kuliko kuipeleka FB

Jamani wakuu tatizo langu halijapata ufumbuzi.waungwana msaada plse!

try hii kitu kwa kudownload kutoka hapa https://www.vodafone.in/documents/pdfs/VF_K3570_New_Dialler.zip

install then ndo uchomeke modem yako and itakuwa detected na iyo application ulioinstalll itafunguka automatically then click connect......

halafu utanipa feedback kama umefanikiwa.

nimefanikiwa kudownload na kuinstall successfully lkn bado modem haisomeki.thnx 4 ur concern.

try hii kitu kwa kudownload kutoka hapa https://www.vodafone.in/documents/pdfs/VF_K3570_New_Dialler.zip

install then ndo uchomeke modem yako and itakuwa detected na iyo application ulioinstalll itafunguka automatically then click connect......

halafu utanipa feedback kama umefanikiwa.
Ndugu at last nimefanikiwa kuihuisha modem yangu.Mwanzoni iliniwia vigumu kidogo nikate tamaa.Tatizo nililogundua ni kwamba nilisahau kufanya uninstallation kwanza ya existing dashboard.Sasa na2mia device yangu freely,my thanks 2 u is beyond comparison.

Ndugu at last nimefanikiwa kuihuisha modem yangu.Mwanzoni iliniwia vigumu kidogo nikate tamaa.Tatizo nililogundua ni kwamba nilisahau kufanya uninstallation kwanza ya existing dashboard.Sasa na2mia device yangu freely,my thanks yo u is beyond comparison.
Pamoja mkuu

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom