Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
habari zenu wakuu,nimenunua just recently xbox 360 controllers for windows,bahati mbaya nikikonect kwenye computer inaniambia `the last usb device you connected to this computer malfunctioned and windows does not recognize it.`,bahati mbaya zaidi kuna baadhi ya muda huwa ina kuwa recognized lakini haikai muda mrefu hardly dk 1,na muda mwingi huwa haiwi recognized,nimejaribu kugoogle solution online nyingi zinaelekeza kwa usb device ikiwa haiko recognized,nimefanya inakuwa recognized kwa muda mfupi then inapotea inakuwa unrecognized tena,naombeni msaada wenu wa mawazo kwa yule ambae atakuwa anajua solution,iwe recognized muda wote,nimeambatanisha na picha na hiyo usb device ninayoizungumzia.natumia window 8 pro,64 bit OS
compueter type : asus,core i 5
ahsante
compueter type : asus,core i 5
ahsante