Na wao watafute kazi zenye maslahi mukiwa form 3 si munajiita. HKL hamusomi kufaulu lazimaKwahiyo bora waangamie wengine kwa mishahara kiduchu , wew uruke na hiyo 3milioni! Huwaonei huruma wenzio?
Mtendaji wa kijiji mwenye degreeTofauti kubwa ya mishahara ni tatizo, mwanajeshi mwenye degree anatofauti gani na watu wengine na anazalisha nini?
Haya kuna mashirika yanaingizia Pesa gvnt kilasiku .huwezi kulipa mshara sawa na mtendaji wakata kisha degree
Asiyekuwa na akili hawezi kukuelewa..Siasa ya ujamaa inayoongelea usawa inasema kuwa kila mtu anatakiwa kulipwa kwa kadri ya jasho au kazi yake.Malipo hayatakiwi kulipwa sawa kwa sifa za makaratasi tu walizonazo wafanyakazi bali kwa kazi wanayofanya.
Tuanze kwa mfano mdogo
1.Afisa masoko aliyemaliza digrii UDOM na mwingine kamaliza digrii UDSM.Wamesoma na kumaliza siku moja mmoja anapelekwa Shirika la ndege la ATCL mwingine anapelekwa TANAPA.Yule wa ATCL analala tu anakoroma ofisini hahangaiki kutafuta wateja ndege inaondoka bila abiria na shirika linapata hasara mfulululizo sababu ya uzembe wa kutochapa kazi kwake na kusababisha Serikali kutoa ruzuku.Huyo aliyepelekwa TANAPA anachapa kazi idadi ya watalii inaongezeka shirika linapata faida kubwa hadi kulipa gawio kwa serikali kutokana na juhudi zake.
Hao watu wawili ukiwalipa kwa sifa tu za vidigriii unalea uzembe na uvivu.
2.Chukulia pia mhasibu wa benki.Toka asubuhi akiamka yeye ni kupokea na kulipa mabilioni ya pesa mfululizo hadi anapoenda kulala huwezi mlinganisha na mhasibu wa shule ya sekondari ambaye kwa mwezi aweza tu kuwa anakoroma ofisini kwa kuwa hana hela ya kupokea wala kulipa
MISHAHARA hata kwenye siasa za ujamaa hailingani kwa sifa za digrii au vyeti ni HAPA KAZI TU
Breweries ndo madudu gani?Mishahara duniani kote watu wafuatao hulipwa pesa nyingi mno
Mapato ndio kila kitu iwe kwenye nchi au taasisi au kampuni binafsi.Watu walio sehemu za kusaka wateja na kuumiza vichwa kuingiza mapato MAKUBWA wawe kampuni mfano vodacom,tigo,bandari,TRA,TANAPA nk hulipwa sana.Sababu ndio injini ya ncchi kwenda.Wasipochacharika barabara nchi ikakosa mapato Wanajeshi ,Polisi hawatalipwa,walimu hawatalipwa,madaktari hawatalipwa,wabunge hawatalipwa,sekta yote ya serikali haitalipwa na nchi inaweza hata kupinduliwa kwa hilo na hata shirika laweza kufa.
Sababu iliyoua hata mashirika ya umma ilikuwa mojawapo tatizo la mishahara midogo kwa wafanyakazi wa hayo mashirika ya umma ambayo serikali iliyaweka ili yazalishe faida yaipe serikali gawio iendeshe mambo yake.Umakini mkubwa unatakiwa hasa kwenye INCOME GENERATING INSTITUTIONS ambazo huendeshwa kwa faida kubwa na kuipa gawio serikalini.Mishaghara ikichezewa huko ni hatari kwa nchi.
Chukulia kampuni kama BREWERIES ilikuwa chini ya waswahili wenye digrii kibao lakini waliokuwa wakilipwa kidogo ikaenda hadi kufikia kufa.Ilipouzwa kwa makaburu wao wakaleta wazungu watatu tu wakabaki na waswahili wale wale ila wakawapandisha sana mishahara sasa hivi breweries iliyokuwa inakufa ni mlipa kodi mkubwa wa kodi na gawio kwa serikali!! Kwa hiyo eneo la Income generating institutions KWATAKA umakini mkubwa .Kukiborongwa au kuua morali wa wafanyakazi iwe kwa kutumia kigezo cha mishahara nk ni hatari
kawaida kaka unapopokea mshahara kupitiaa utumishi kawaida wanakuwa na level zao za mshahara ila kuna mashirika mengne yanajipangia mshahara ambayo yanajilipa yenyewe bila kupitia utumishi mfanoJamani uzi huu nimeamua kuuleta hapa ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi na kuleta usawa raia wote! Nitaanza kama ifuatavyo:-
1: Mwalimu (degree holder) akiajiliwa sehemu yoyote nchini kwa mfano kama mshahara wa level yaani degree ni laki 7 basi ni kila mwalimu mwenye kiwango cha elimu haijalishi anaripoti Iriboru, pugu, Sanya Juu(kata), Tandahimba, etc
2. Kada zingine kama mhasibu , IT, Public realation, HR, Secretaies, etc hakuna usawa kabisa , mfano IT mwenye bachelor aliyeko Euwura, analipwa may mara 3 ya mshahara wa IT alieko Wizara ya Ujenzi, Elimu , etc hivohivo kwa mhasibu , HR , etc
3. Utakuta HR alieko TANAPA analipwa mil. 2 na alieko Utumishi anapata laki 8, lakini wote wametoka UDOM mwaka mmoja na kozi zilezile.
4. Nisite mfano mmoja wa Public relation alihama Taasisi moja ya serikali (jina nalihifadhi) akilipwa mshahara wa 565,000/= na kwenda Ewura kwa fani ileile na kulipwa 3,000,000/= wakati kiwango cha Elimu ni hichohicho na title ni ileile (TAASIS ZOTE NI ZA SERIKALI).
MADHARA YANAYOJITOKEZA:
1: mwajiliwa kutofanya kazi kwa ufanisi maana kila siku mindset yake ni ku-google ajira zingine zenye maslahi, ukiwa na usawa mtu huyu hata hangaika maana anajua kila kona ni wembe ulele!
2. Kupoteza wafanyakazi mara kwa mara kutoka tasisi moja kwenda nyingine! Pengine ni mwajiliwa mpya aliyeajilia na hajamaliza hata miezi 3.
3. Kupeteza pesa kwa taasisis husika iliyoachwa! Maana mtu huyu kalipwa posho za kujikimu na pesa za kusafirisha mizigo toka Nyamazugwa hadi DSM hata jua HALIJAZAMA KASEPA.
4. Kuongeza mianya ya rushwa maana mwenye MASHARA mdogo analazimika apige nyoka ili waendane kimaisha na jamaa yake waliekuwa nae chuo kimoja na cozi moja, shida ni taasi zilizowaajili kutofautiana viwango vya salary.
USHAURI KWA MWAJIRI MKUU.
1. Kutengeneza uniformity , inakayopunguza matatizo haya!
2. Mfano Ikiwa Baadhi ya Taasisi za serikali zimepewa mamlaka ya kuwa their own salary scale, basi ukisema IT nchi nzima watalipwa laki 8, hizo taasisi ziongeze 50elfu au laki 1, lakini kutoka laki 8 to 2.5 milion , hata mimi lazima nigoogle daily kusaka nafasi mpya, na sitakuwa busy na hii taasis yenye kiduchu maana najua wakati wowote fyuuuuuuuu!
Naweza kueleza mengi lakini mwenye kunielewa na mwenye akili yakinifu kashaelewa CONCERN YANGU:
NOT FAIR KABISA:
MAMA KAIRUKI (WAZIRI WA UMIMISHI NA AJIRA) and
THE BIG BOSS JPM,
TUSAIDIENI KATIKA HILI TUACHE KUTANGATANGA KUSAKA AJIRA MPYA WAKATI TUSHAPATA SHIDA MASLAHI!
Mkuu tumepiga pure science , na HESLB ikatupa mikopo, shida ni utofauti wa ofsi mkuu ! Bado walitizame aise!Na wao watafute kazi zenye maslahi mukiwa form 3 si munajiita. HKL hamusomi kufaulu lazima
Basi na Kwenye ajira jiiete hatukusoma kiduchu lazima HKL
Vipi mshahara umetoka kwani? Nasikia kuna increments mwezi huuWanakuja ngoja waamke
askari polisi anayelinda benki na anayelinda kwa mkuu wa mkoa wanalipwa tofauti?Hakina faida kina hasara nyingi mno.Usawa kwa kuangalia elimu tu ni janga kubwa.Chukulia mfano Watunza maghala au boharia.Boharia wa ghala ya vitabu shuleni ni tofauti na boharia anayetunza ghala la fedha au silaha.Wote wanaweza kuwa na elimu sawa lakini kazi tofauti na madhara yako tofauti.Yule wa ghala la vitabu hata vikiibiwa au akaiba akatoroka madhara ni madogo lakini huyo wa ghala la silaha au pesa akiamua kukwapua na kutoroka shughuli yake ni pevu.
Waweza kuwa wote wana elimu sawa ila kuna mwingine hasa huyo wa ghala la silaha na pesa lazima viwango vya mishahara yao kuviangalia kwa makini
Si upeleke Cv uombe kazi huko wanakolipa mil 3?Ndo maana nilisema utofauti uwepo lakini siyo kwa mamilioni ya pesa , from laki 7 to 3milion , nani atakuwa decent katika uwajibikaji, kama siyo kila siku kubalisha CV?