Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nakumbuka hype ya iphone ilivyoanza kama kawaida yao Wamarekani wazuri sana kwa marketing na kudanganya watu, nakumbuka walianza na selfie kila Mwanasiasa kuanzia Obama mpka ma hollywood stars walikuwa wanaongelea selfie ya iphone utafikiri sijui ni kitu gani special na kama kawaida ya Dunia imejaa wapumbavu na wajinga wengi wakaingia mkenge wakanunua iphone kama mchanga , kasimu kanauzwa dola mpaka 700 za kimarekani lkn watu wananunua, halafu wanakuja na style nyingine mara iphone 4 iphone4 s mara 5 5s sasa hivi wameshafikia ukomo wa usanii na apple hawawezi kuzuga tena na usanii wao ili kuibia watu, watu wengi wameshawashtukia hivyo hii iphone mpya imeflop big time lkn too late wameshatengeneza mpunga wa kufa mtu!
Sasa wamehamia kwenye gari aina ya Tesla ambalo linatumia umeme badal ya mafuta kama magari ya kawaida yalivyo, ikumbukwe kwamba kama ilivyo kwa iphone ya apple siyo teknolojia mpya, magari ya umeme yapo tangu zamani ila changamoto kubwa ilikuwa kwenye betri sasa hivi kwa kutumia betri za lithium teknolojia imekuwa na kuna uwezakano wa gari kwenda mpka kilometa 300 bila ya kuchaji, NA WALA SIYO TESLA PEKE YAO NDIYO WANA MAGARI YA UMEME BALI KARIBIA KILA CAR COMPANY INATENGENEZA NA KUJARIBU MAGARI YA UMEME!!
Sasa Wamarekani wamerudi tena na hype kama vile iphone watu watadanganywa, eti wanasema oda za hiyo Tesla model 3 zimekwisha fika 200 000 kabla hata gari haijatoka kiwandani, huku kote ni kuzuga watu ili waanze kuzinunua kwa fujo kama vile walivyofanya iphone na baada ya muda kama vile iphone watu watajiuliza hivi nimelipa hivi fedha zote kwa kipi hasa?
Hawo ndiyo Wamarekani bhana, ujanja mwingi sana, wakishindwa hapo kwenye ujanja yaani wakiona umewashutia na hautaki kununua huwo ujinga wao kwa bei kubwa na ya wizi wanakupiga mabomu, wanaita regime change!!
Enzi za usanii wa selfie wakati wanaipigia kampeni iphone!