Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,486
- 11,653
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.
Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa inakuaje.alichofanya Ruge ni kuhakikisha anakula kwa ufasaha sehemu zote mbili.kuwa kama Clouds itabaniwa sehemu sababu flan flan then badala yake wakapewa deal WCB anafaidika.
Na kama WCB watabaniwa sehemu na badala yake wakapewa CLOUDS anafaidika pia. Ni business strategy ambayo mimi nampongeza sana.
Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.😂😂😂😂
Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.
Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.