PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Hizo sarafu zipo. Nimeziona na mimi nimenunua yangu moja kwa elfu hamsini na kuiweka na kuitunza.
Watu wenye akili zao walimshauri kwamba anachotaka kukifanya ni upuuzi tu, kwasababu sehemu kubwa ya Watanzania hawapendi kabisa kusikia masuala ya Miaka50 ya uhuruJamani wakati wa sherehe za miaka hamsini ya Tanganyika,Gàvana wa Benki kuu ya Tanzania aliwaahidi Watanzania kuwa Benki Kuu itatengeneza Sarafu kama kumbukumbu maalum ya miaka hamsini ya Tanganyika na kuuzwa kwa watanzania kama si kugawiwa.
je Sarafu hizo zikowapi?
Kama kumbukumbu tu ni mapambo usifikiri ni kama sarafu ya kuzunguka kama pesa nyingine.
Ulishaambiwa no research no right to speak!
nchi iko vitani kaka we kumbukumbu ya miaka hamsini ya nini? njaa ujinga na maradhi au ni kumbukumbu ipi unayomaanisha? usifuate mkumbo kakaKama kumbukumbu tu ni mapambo usifikiri ni kama sarafu ya kuzunguka kama pesa nyingine.
Ulishaambiwa no research no right to speak!