hahhahahahahahahaaaaaaaaaa...!
nakupenda kama mchuzi wa jogoo...!
kudaaadeek:wink2::wink2:
halafu kuna hizi simu siku izi unapigiwa simu swali la kwanza ''UKWAAP?...''
achachachachachaa...mamaaa yaangu...huwa nakatikaje stimu arif!.....''UKWAAP?''....
benchoooooiiiid
Yaani kile ki fifty souzend mnakitafuna kinyemela sio? Uchaguzi wa mwakani nampigia debe uporoto
let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:Komaa kabisa kaka,
ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kuchezea chezea!
Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!
View attachment 49382
let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:
kongosho(braless) kashikwa mkono na rejao (tukimwita 'tall' enzi hizo),kivulana cha kati chenye bugaloo ni bishanga kushoto kamshika bega Lizzy kulia Husninyo,mwisho kulia mwenye bukta babu DC kamkumbatia Faiza Foxy,enzi hizo bana raha kweli,ukiumwa sana 'mafua' unakula rangi mbili biashara imekwisha,siku hizi mambo kwa ARV,lol!
pekua pekua yangu nimekuta barua hii (bado inanukia poda ya 'ambi'):Kusema ukweli nilizimiss sana hizi................. natamani kurudisha siku nyuma
Any voluntia??
Hehehehehe..... umenikumbusha wakati nakasarandia kademu kamoja ka Ashira geloz....Hii thread mpaka sasa nishazoma uzoefu wa Asprin na Klorokwin.........yaani nyie mnaonekana ndio mlikuwa wahanga wa haya mabomu haswa!
Baada ya kusema hayo.......................namalizia na....
Mpenzi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli, nauli ya kurudia sina wala pa kukopa sipaoni!!
umeona huo 'mtuno'? huyo ndo DC enzi zake,siku hizi mpaka aimbiwe 'simama dede' uzee mchezo?Wajukuu hawaruhusiwi kuangalia bukta ya Babu, maana it will blow you away.
umeona huo 'mtuno'? huyo ndo DC enzi zake,siku hizi mpaka aimbiwe 'simama dede' uzee mchezo?
Hehehehehe..... umenikumbusha wakati nakasarandia kademu kamoja ka Ashira geloz....
Kalinambia "Wa ubani ni vile tu hujui navokupenda, yaani kohozi lako kwangu mie ni blue band yangu" mwisho wa kunukuu.... khaa!
Kama Umekua na Lizzy na Husninyo, Bishanga naomba shkamoo yangu..... wallah tena!let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:
kongosho(braless) kashikwa mkono na rejao (tukimwita 'tall' enzi hizo),kivulana cha kati chenye bugaloo ni bishanga kushoto kamshika bega Lizzy kulia Husninyo,mwisho kulia mwenye bukta babu DC kamkumbatia Faiza Foxy,enzi hizo bana raha kweli,ukiumwa sana 'mafua' unakula rangi mbili biashara imekwisha,siku hizi mambo kwa ARV,lol!
du,umepiga ikulu,ngoja wambea kina kloro na aspirin wamshtue babu DC leo ndo utalijua jiji.He ehe he , mbona nilisikia hadi awekewe mti wa kusapoti kama tunaoweka kwenye migomba ili isianguke.
this is circa 1966 wakati kambarage (RIP) anaanzisha jkt bana. Hivi we hujui Husn na Lizzy wana vitukuu?Kama Umekua na Lizzy na Husninyo, Bishanga naomba shkamoo yangu..... wallah tena!
Hehehehe.......Ujue mie nilikuwa napata staftahi ya ngu ya mkate na bluu band, imebidi niache kwa muda.