Habari wana Jf
Napenda kuuliza mwenye kuimanya vizuri hii kampuni ya Usangu Logistics maana nilipata mashaka makubwa sana mbunge mmoja aliposimama kusema kuwa kampuni hii ilipewa tenda ya kusambaza transforma 10 hapa hapa Dar es Salaam kwa gharama ya Mill. 240 huku kampuni nyingine iliyokuwa imeshindanishwa nayo ikiachwa wakati walikuwa na gharama ndogo zaidi ya sh. Mill. 10 tu.
Mambo haya yaliibuliwa wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, ajabu ile hoja ilizimika tu kiulaini.
Nashawishika kuimanya hii kampuni ni ya akina nani then kutoka hapo tunaconnect the dots.
Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hii nchi mpaka wafanywe kama GhadafiHabari wana Jf

Kuna wakati dezo huua. Si kila kitu cha bei kubwa ni ufisadi...

huyo mwenye kusafirisha transforma 10 kwa 10M labda alidhan ni kusambaza maembe
kumbuk transforma moja ni 5Tonnes
usangu,plantinum credit,smart oil,jembe ni jembe,kilimanjaro pub,cosmopolitan hotel na musa transporter yote mali ya salva rweyamamu wa ikulu

Huyu Salva mnamuoneausangu,plantinum credit,smart oil,jembe ni jembe,kilimanjaro pub,cosmopolitan hotel na musa transporter yote mali ya salva rweyamamu wa ikulu
Huyu Salva mnamuonea
Hiyo Mussa Transport ipo Mwanga Bar mjini Dodoma ni ya kijana wa Dodoma shemeji yake na Damas Malya ofisi yao nyingine ipo Jangwani karibu na Club ya Yanga.
Usangu Logistic km siyo ya Jah People Mbunge Sanga basi huyo Mwandishi Salva kaingizwa share ya % miaka hii hii
Salva hela yake ya mawazo hii kampuni ya usangu ni ya wabulushi ina tenda ya kubeba sigara za ttc.pia ina miaka zaidi y 15 huyo salva kipindi hicho hana hata baiskeli