Nimestaajabu kusikia kuwa mil 246 zilitumika kusafirisha transforemer 10 jijini DSM.
Hayo yamesemwa na mchangiaji ambaye sikumshika jina alipokuwa akichangia kwenye hotuba ya wizara ya Nishati na madini muda wa saa 5 hv asbh.
Amebainisha kuwa Milioni 246 zililipwa kwa mzabuni wa Tanesco aliyesafirisha Transformer 10 ndani ya jiji la Dar es salaam na 1 kuipeleka Mkoani Shinyanga.
Tenda hiyo alinyimwa mkandarasi ambaye gharama yake ilikuwa ni 10m alinyimwa tenda hiyo kwa sababu ya kigezo cha uzoefu ndipo alipopewa mkandarasi mzoefu kwa gharama ya shilingi Milioni 246.
kama ni kweli Tanesco inatapanywa haswa, na cha moto tutakiona!
Wanajamvi,
Kweli ufisadi nchii umetamalaki.
Kweli kusambaza transformer tisa dar es salaam na kupeleka moja shinyanga inagharimu million 260? Come on guys lets be serious tuache ushabiki.
kinachoongelewa wapi?Hapa kinachoongelewa sio bei ya transformer, bali gharama za kizisafirisha kwenda site.
Sikia mwana, tenderer walikua wawili mmoja alikua wa million kumi wakamtolea nje kwa kua hana uzoefu. Na wa pili ndo huyu wa million 260. Sasa kama inahusisha na bei ya transformer ina maana huyo aliye tender kwa million kumi atakua kilaza kama wewe.Hih mada inachangiwa na wamikoani au?jamani tanesco na magari yao yote inamaana huwa hamyaoni hapa kibongo bongo yakiwa yamebeba transformer acheni hizo hizo bei itakuwa inclusive na bei ya transformer yenyewe na mafuta yake
Hih mada inachangiwa na wamikoani au?jamani tanesco na magari yao yote inamaana huwa hamyaoni hapa kibongo bongo yakiwa yamebeba transformer acheni hizo hizo bei itakuwa inclusive na bei ya transformer yenyewe na mafuta yake
Sikia mwana, tenderer walikua wawili mmoja alikua wa million kumi wakamtolea nje kwa kua hana uzoefu. Na wa pili ndo huyu wa million 260. Sasa kama inahusisha na bei ya transformer ina maana huyo aliye tender kwa million kumi atakua kilaza kama wewe.
Mwanajamvi, hapa tunajadili gharama za kuzipeleka transformer site kwa gharama tajwa na si manunuzi usichoelewa ni kipi? Unaweza kuwa ni x- tanesco worker but ulikuwa manamba tu wa kwenda kufunga nguzo site.Nadhani walimtolea nje kwa kuwa ana akili kama zako ambaye unaweza kwenda yard na elfu hamsini alaf unataka gari tena bora tanesco walimsahi na kumpa jibu zuri kidogo hana uzoefu nenda kwa chinga uliza shati alaf umwambie una sh mia ndio utajua alikua anastahili jibu gani
jaribu kupata mchanganuo kwanza. Labda ni pamoja na bei ya hizo transforma.
ex tanesco staff na nna jua bei ya transformer na gharama za mafuta yake tena 4 ur information hata hiyo figure kwa transformer kumi mpya ni ndogo kutakuwa na used au repaired hapo punguza ukilaza kwa vitu ambavo hujui
Ieleweke mzigo kama huo lazima ukatiwe insurance just in case... And insurance is basing on value.