USALITII

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Screenshot_2017-03-15-07-46-24.png
 
siasa bana ukiziweka mbele maisha hayaendelei vizuri uraian watu hawazikan hawachanganyani eti wana uadui wa kisiasa na hpo hapo wa kwanza kuzusha mambo wakidhan wanajenga.

Wakati wanasiasa wanachekeana,kusalimiana na kuzikana aisee
 
Siasa waachieni wanasiasa tu ndiyo huwa wanajua wanachokifanya ila kuna wapuuzi wenyewe ni kueneza chuki tu ili hali hata mia hawapati
 
Ukisoma sura zao Mtukufu lengo lake sio kumjulia hali mgonjwa, mgonjwa naye hana raha ya kujuliwa hali na Mtukufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom