Usaliti

Hebu list hizo hatua unazoona zinafaa kuchukuliwa mara baada ya usaliti ili tukwambie ni ipi sahihi.
 
Unaweza kujihisi huna thamani kabisa kwenye hii dunia....

Hii mambo ya usaliti ngumu kusahau

Kama unaweza kumudu kusahau,basi sahau na sameheeee......

Kama huwezi mwache tafuta mwingineeee......
Uache kulia lia ...
 
Hakikisha mpaka umeshuhudia usaliti live, sio umeona msg au watu wote wanasema mtaani.
 
Mashahidi japo wanne wanahitajika nao pia wawe wameshuhudia usaliti/fumanizi. Sio kaingia ghetto tu basi, unatakiwa uone kabisa ushuhudie wanafanya kabisa (yan inaingia na kutoka wapo utupu bila nguo)
 
Du, mimi ninavyoogopa magonjwa, nikisikia kwanza tendo ni no, nitatoa visingizio huku ninakuchunguza.
Hizo habari za kusikia sio nzuri, wanafiki wengi hawapendi penzi lenu kuliona linashamiri, usisikilize maneno ya watu mpaka uthibitishe kwa macho yako live bila chenga
 
Ni kuongeza upendo kwake tu. mpka ataacha kukusaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…