Usaliti wenye ulazima

Mkuu kwakweli sisi wote hua tunatafuta kisingizio pale tunapotaka kuchepuka, ila hiki kisingizio chako ni cha kiwango cha SGR! [emoji23][emoji23]
Kwamba kime pitishwa na TBS
 
Nani mtenda hiyo miujiza? "Shetaniii" atokee au apigwee? "AAPIGWEEeee"
 
Weww ndo mwanaume
 
Kinachonishangaza zaidi ni unavohangaika kumfatilia mtu ambae huwezi kumuacha[emoji38]

Huyo mwanamke unampenda mno halafu unampenda kwa namna ambayo sio sahihi..nahisi ungeweza ungekua unamfungia tu ndani, unafatilia vitu ambavyo havina hata maana., kuna haja gani kuwafatilia mpk kina jafari ikiwa ww unaona ushalipa kisasi? Huyo msichana nae hana akili kila mkikaa haoni kama unamtumia kupata habari tu za mkewe? Au mapenzi yenu mmekubaliana vipi? Hizo habari mwisho zitaisha halafu ataanza ktunga na uongo..kwani huwa hamna story nyngne?

Halafu pamoja na kulipiza kisasi unakosema bado hujapona cha zaidi ambacho hujajua ni kwamba unajizidishia maumivu kwa kuendelea kupata habari zake za zamani kutoka kwa huyo kimada wako.

Unajua kuna vitu huwa maumivu yake hayaponi hata ufanyaje unachoweza kufanya ni kujifunza kuishi na tatizo ulilonalo hasa kama mtu huwezi kumuacha...yani mfano mkeo/mumeo akichepuka na ww useme ukachepuke ukidhani utapata relief huwa hakuna kitu kama hiko( sijasema kachepuka lkn ni situation zinalandana)

Umeanzisha shida mno na itakutokea puani mwenyewe kwa jinsi ulivyo na wivu akisema yeye akupige tukio moja tu kulipiza ni either utamuua yeye au ujiue wewe au ufanye kitu cha ajabu tu.

Wanawake wengine huwa wanadhan wanaume kama nyie ndo mna mapenzi ila kiukweli wanaume wa hvi mna shida sana tena kubwa huwa hamna tofauti na vichaa huwa mna shida sana sana

Bado nawaza sijui unajitafutia shida gani kama vile haya maisha magumu hayakutoshi unazidi kujipalia mikaa[emoji31][emoji2360][emoji848]
 
Thread closed na upewe ulinzi kabisa popote ulipo
 
Mzee mwenzangu unakwama wapi?.ikiwa ex wa mkeo alishafariki Wewe wasiwasi wako uko wapi?.Tuliza munkali jitafunie mkeo mdogo mdogo.
 
kwanza niweke wazi huwa sitafuti stori wala kuulizia kwa huyu binti, huwa inatokea tu. hii ya jafri aliniisimulia nayo nikapuuzia ila siku tunaenda kwao anakazania kumsalimia huyo Jafari ndio akiri ika load nishawahi ambiwa huyu Jafari wa serikali za mtaa walishawahi pigana na ex wake ndio ikabidi nimuulize. ukiachia hiyo kuna vistori vngi ambavyo niikimuuliza atajua tu nimeambiwa na member wa familia ile hivyo nimepotezea tu.
 
Umeandika mawazo kwa 90% isipokuwa kukaoa haka kabinti kwanza kadogo pili kana ndogo ya kuendelea kusoma tatu ni muislamu na hawezi badiri dini (moja ya sababu ya wife kuachana na ex wake kwa maelezo ya binti).
 
Kama kameshafikisha 18+ kapige daruga, kisha tuone hao waislamu kama hawatakukabidhi mke wa pili
 
Umeandika mawazo kwa 90% isipokuwa kukaoa haka kabinti kwanza kadogo pili kana ndogo ya kuendelea kusoma tatu ni muislamu na hawezi badiri dini (moja ya sababu ya wife kuachana na ex wake kwa maelezo ya binti).
Basi hakikisha wife anajua umekatafuna hako kabinti km mdau mmoja alivyosema, itampa maumivu na atakata mguu ila Sasa ujiandae kuachana nae endapo akiamua kulipiza, ila una moyo hongera sana
 
City college hii. Tafuna tu mkuu hicho chuo hata mm kuna katoto kamemaliza mwaka huu kozi hiyohiyo nakatafuna bado
 
Basi hakikisha wife anajua umekatafuna hako kabinti km mdau mmoja alivyosema, itampa maumivu na atakata mguu ila Sasa ujiandae kuachana nae endapo akiamua kulipiza, ila una moyo hongera sana
ni muhimu sana na atajua kuna picha zipo kwenye app photos siku atakutana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…