Inauma sana unaposalitiwa na mpenz mkiwa eneo moja na jion mlikuwa wote.Ndo yalonitokea kwa mrembo neema mwambao lake Tanganyika.Uamz wang tofaut sana na wanaume weng me nikprove kwa data sirudii mtu.ww vp mdau

alikuona huwezi kazi mzee, inakuwaje kama ulimtandika vya kutosha hamu ikamwisha afanye alichofanya? alishakudharau we omba Mungu akupe mke anayefanana na wewe. na uache zinaa, utakufa na ngoma.wanawake ndivyo walivyo anaweza kugawa hata kwa watano akiamua kama ameamua kukutumia na kama ni ngoma inawapata wote.
Kwani alikuambia anashida ya kuolewa na wewe. Alikujaribu tu wanaume bwana, Kwani unafikiri kuwa na wewe ndio nimeshajibinafsisha kwako. Eeee Miss chagga njoo huku wametuanza tena hawa. Wakati jana tulisema hatutaki kusemwa humu.