Usaliti ni laana: Aliyeisaliti CHADEMA Hai baada ya kununuliwa apigwa chini kura za maoni Serikali za mitaa, amwaga chozi hadharani

Emmanuel Laizer aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Shabaha kwa tiketi ya Chadema kutokana na uchaguzi wa 2014 , na baadaye kusaliti na kujiunga na ccm kisha kurudishwa tena kwenye uenyekiti kupitia dirishani , amepata malipo yake baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni dhidi ya mpinzani wake Mosoka Singo .

Chanzo : Nipashe

Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.

Endeleeni kutega masikio yenu .
mtatiro julius alipelekwa kuwa DC baada ya kutangaza nia ya kugombea jimbo la UBUNGO bwana mkubwa keshasema mtu mmoja cheo kimoja. kwahiyo bwana mtatiro kalipwa usaliti wake
 
Mnachonifurahisha wandugu wa upinzani ni kuwa mwanachama akitoka CCM kuja upinzani ni mjanja na kamanda Ila akitoka kwenu Kuja CCM ni msaliti duuuuuu

Ili hawawezi kulijibu wala kuzungumzia bali utaogea matusi na kejeli tu
 
Emmanuel Laizer aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Shabaha kwa tiketi ya Chadema kutokana na uchaguzi wa 2014 , na baadaye kusaliti na kujiunga na ccm kisha kurudishwa tena kwenye uenyekiti kupitia dirishani , amepata malipo yake baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni dhidi ya mpinzani wake Mosoka Singo .

Chanzo : Nipashe

Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.

Endeleeni kutega masikio yenu .
Usaliyi utaendelea mpaka kwa mke wake, atagongewa tu
 
Emmanuel Laizer aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Shabaha kwa tiketi ya Chadema kutokana na uchaguzi wa 2014 , na baadaye kusaliti na kujiunga na ccm kisha kurudishwa tena kwenye uenyekiti kupitia dirishani , amepata malipo yake baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni dhidi ya mpinzani wake Mosoka Singo .

Chanzo : Nipashe

Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.

Endeleeni kutega masikio yenu .
Bado yule wa ukonga na Kinondoni
 
Sio wote waliojitambua na kuachana na chadema na kupewa uongozi sisiemu wataendelea kuwa viongozi. Hata waliokuwaga viongozi sisiemu nao wanawekwa kando na nafasi zao kuchukuliwa na wengine...
Think big.
 
Back
Top Bottom