Uchaguzi 2019 Usaliti ni laana: Aliyeisaliti CHADEMA Hai baada ya kununuliwa apigwa chini kura za maoni Serikali za mitaa, amwaga chozi hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
67,029
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
67,029 2,000
Emmanuel Laizer aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Shabaha kwa tiketi ya Chadema kutokana na uchaguzi wa 2014 , na baadaye kusaliti na kujiunga na ccm kisha kurudishwa tena kwenye uenyekiti kupitia dirishani , amepata malipo yake baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni dhidi ya mpinzani wake Mosoka Singo .

Chanzo : Nipashe

Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.

Endeleeni kutega masikio yenu .
 

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,136
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,136 2,000
Yaani mwakani ndio wataitambua hiyo CCM kwa rangi zote.
Tuliwaambia hao watumwa walionunuliwa kuwa mtumwa ukinunuliwa sio kuwa unapendwa kama watoto wa hiyo familia bali unanunuliwa kwa Kazi maalumu ikiisha unaweza kuuzwa tena au kulishwa sumu na kutupwa jalalani.
Tumeona dalili za Simanjiro hata Ukonga pia
 

Forum statistics

Threads 1,378,779
Members 525,187
Posts 33,724,224
Top