Me staki hata kuchangia...naona ntaharibu...ila wallahy kuna ndoa nkiziangalia nakosa ham ya kuoa
Habari wapendwa,
Njooni tulonge kuhusu hii mada hivi utafanyaje unapokugundua mkeo mpendwa anakusaliti? akaomba msamaha hatorejea?
Habari wapendwa,
Njooni tulonge kuhusu hii mada hivi utafanyaje unapokugundua mkeo mpendwa anakusaliti? akaomba msamaha hatorejea?
Bora Wewe Ila Mimi Sina Hata Mpango Wa Kuoa. Dada Zetu Wa Leo Ni Pasua Vichwa!
ngoja nisikilize msaliti ya Christian Bella