Usaliti katika mapenzi

Unadate na binti miaka miwili halafu hujui kaka zake? Ni halali kucheatiwa tuu! Halafu unapekuwa facebuk, diary na simu umesahau nini huko?
 
Yaani picha tu unataka kutoa roho yako??? Nitajisikitikia kama nitakuta mke wangu ameweka picha ya ndugu yake wa kiume kwenye FB, whatupps n.k eti nianze kutoa povu, sembuse mpenzi tu. Cha msingi kaa tulia chunguza upate majibu. Na kama umekaa naye miaka miwili kama uko serious naye kweli hujafahamu ndugu zake wa damu?? Hapa nina mashaka kama na wewe si wa kuruka naye malavidavi tu na kumwacha!!! Pengine ameshakushtukia na anajua ukiona picha povu litakutoka na utamwacha ilia andelee na wa fremu wake. Ninaamini kama rafiki ni serious mmekaa mwaka na kuendelea yapaswa mfahamike si kufichana kama hirizi. Haya sasa uje na majibu mmejadiliana nini na maamuzi!!!! Kazi ipo.
 
Usaliti wapi mkuu....

Haka ni kavulana tu kalikoanza kuvua vua chupi za wasichana juzi juzi hata hakaelewi nini maana ya mapenzi...

Mmhh!! Unfortunately, hatuonani kwa macho, ulichoandika umenidhalilisha sana. I'm old enough and when I ask advice doesn't mean kuwa am too young or foolish as you allege. Anyways, thanks to learn about your ridicule advice.....damn.
 
Mkuu labda sura yako haisomeki vizuri yaani pua imezagaa utadhani mto Malagarasi umevunja kingo,hivyo mdada akaona atupie pic ya kihandsome boy cha town.
BTW;Jadilianeni Tu yatakwisha Ni mambo madogodogo Sana hayo unless Kuna dalili nyingine za usaliti.

MJADALA MWEMA.
 
Unadate na binti miaka miwili halafu hujui kaka zake? Ni halali kucheatiwa tuu! Halafu unapekuwa facebuk, diary na simu umesahau nini huko?

Ooh!! My God, you haven't even read what I've written and asked for....lkn unajufanya kusupport what others wrongly does...haya keep it to yourself.
 

Duuh!! Nothing to take from you....thanks for keeping company with my post.
 


Mkuu, cheers for your incredible points. The answer is that we know each others' relatives very well.
 
Usaliti wapi mkuu....

Haka ni kavulana tu kalikoanza kuvua vua chupi za wasichana juzi juzi hata hakaelewi nini maana ya mapenzi...

Hey you acha dharau.

Mara nyingi nimekua nikiona comments zako, yoyote mwenye misukosuko ktk mapenzi
basi kwako ni "kavulana" au mtu aliyebalehe juzi.

Just stop that, unaniboa.
 
Kusoma uwezi hata picha huoni......tupe majibu baada ya mazungumzo yenu tukupe ushauri zaidi usiwe mtu wa kukonkludi kabla ya tafiti..
 
Kusoma uwezi hata picha huoni......tupe majibu baada ya mazungumzo yenu tukupe ushauri zaidi usiwe mtu wa kukonkludi kabla ya tafiti..

Mkuu, kwanza shukrani kwa kufuatilia post yangu.

Pili, yaliyojiri ni kwamba ile picha ni ya kaka yake kweli, na uhakika umethibitishwa na ndugu yake ambaye alishiriki ktk makutano yetu.

Tumemaliza majadiliano yetu mnamo saa 22:45hrs, kwa furaha kabisa.

Shukrani kwa wanajmvi kwa ushauri, etc. Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu....Amen.
 
Aaa nawe umeanza lini tena kushika cm yake!.ndo maana naogopa kabisa kuishika cm yake.jiulize je kwako mda huu hawezi kuta sms au picha mbaya ktk cm yakoo?.?
 
hongeren, ila yawezekana anao kaka wengi so jitahd uwajue wote ili ucpanic tena cku nyingine. Ol da best
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…