Heshima kwenu,
Naomba ushauri wenu juu ya jambo hili:
Kwamba, ninaye mpenzi wangu wa kike na tumekuwa kwenye mahusiano mema kwa muda wa miaka miwili sasa. Mahusiano yetu yamekuwa bora wote, lkn leo (10/01/2014) ghafla niliingia kwenye Whatsup page na kukuta avatar ya mpenzi wangu imewekewa picha yenye fremu na ndani ya fremu amepiga picha kijana wa kiume na yeye (mpenzi wangu) wakiwa wote humo.
Nilipouliza kwa upole, nilijibiwa kuwa yule ni kaka yake, na ile picha ametengeneza huyo kaka na alipotumiwa (just jana ndio ndio imetumwa) akaamua kuiweka kama avatar yake.
Honestly, I became furious kwa jibu lile, and I never believed that she was telling the truth. I plan to meet her this evening for discussion and decision.
Naomba msaada wenu as what I'm supposed to do.
Mapenzi ya kitoto hayo....lakini embu muulize...kuna haja au umuhimu wa kuweka picha kama hiyo...htakama kapiga na kaka yake....muulize kwani amekosa picha nyingine za kwake nzuri mpaka aweke hiyo picha....?muulize kwani kuna ulazima sana....mi mademu wenye akili za kitoto kama hizo wasiofikiria mbali.....huwa nabwaga huko...mtu uko nae two years anashidwa kujipanga.../
Naomba msaada wenu as what I'm supposed to do.
kwaio usaliti upo wapi hapo
mmmmh we si ulisema juzi umwolewa au...?heheheheee huwa unbwaga ee mekusoma afu kama inanihusu hii mbona
Mapenzi ya kitoto hayo....lakini embu muulize...kuna haja au umuhimu wa kuweka picha kama hiyo...htakama kapiga na kaka yake....muulize kwani amekosa picha nyingine za kwake nzuri mpaka aweke hiyo picha....?muulize kwani kuna ulazima sana....mi mademu wenye akili za kitoto kama hizo wasiofikiria mbali.....huwa nabwaga huko...mtu uko nae two years anashidwa kujipanga.../
Usaliti wapi mkuu....
Haka ni kavulana tu kalikoanza kuvua vua chupi za wasichana juzi juzi hata hakaelewi nini maana ya mapenzi...