foshizzle JF-Expert Member Dec 4, 2013 374 147 Dec 15, 2013 #1 Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti. Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti mpenzi wako ili uishi maisha marefu yenye furaha.
Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti. Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti mpenzi wako ili uishi maisha marefu yenye furaha.
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,666 112,838 Dec 15, 2013 #4 Unajidanganya weye, cheating haipo mbinguni.... hapo hapo ulipo cheat as much as you can ila usisahau ukimwi upo!!!!!
Unajidanganya weye, cheating haipo mbinguni.... hapo hapo ulipo cheat as much as you can ila usisahau ukimwi upo!!!!!
white girl JF-Expert Member Dec 5, 2013 1,361 400 Dec 15, 2013 #6 Alimsamehe lakin winnie aliendelea kugegedwa nje,we ungeendelea kusamehee tuu
foshizzle JF-Expert Member Dec 4, 2013 374 147 Dec 24, 2013 Thread starter #7 white girl said: Alimsamehe lakin winnie aliendelea kugegedwa nje,we ungeendelea kusamehee tuu Click to expand... ndio. mi nasamehe sana tu. hata hivyo naye aliendelea kugegeda mtu mwingine
white girl said: Alimsamehe lakin winnie aliendelea kugegedwa nje,we ungeendelea kusamehee tuu Click to expand... ndio. mi nasamehe sana tu. hata hivyo naye aliendelea kugegeda mtu mwingine