Usalama wa taifa

Status
Not open for further replies.

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
29,318
Reaction score
60,675
Moderator na wana JF
Kulikuwa na thread kuhusu usalama wa taifa.... iko wapi? Kuna news motomoto za kuweka! Please.... urgent... naomba link yake. Nimejaribu kuitafuta bila mafanikio!
 
Hiyo thread nadhani ishafutwa.
Kama una news nakushauri kaibandike jukwaa la Jamii intelligence.
 
Ndugu zangu; Usalama wa Taifa mshaurini vizuri Bwana mkubwa JK na mumwambie Watanzania wanahitaji katiba mpya hivyo asipuuze kwani akipuuza kama Makamba litamgarimu pia dhambi atakayoipata na nyie hamtaweza kuikwepa kama hamkushauri. Kumbuka tu kuwa kweli itabaki kuwa kweli na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mungu anaenda kuikomboa Tanzania kwa kuwa watanzania wamemwita.





Hiyo thread nadhani ishafutwa.
Kama una news nakushauri kaibandike jukwaa la Jamii intelligence.
 

Tatizo hashauriki.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…