Usalama wa taifa

Usalama wa taifa

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
326
Reaction score
391
Mimi binafsi natamani sana kufanya kazi ya usalama wa taifa. Nifanyeje ili nifike huko.
 
Wewe huyo hapo.........watu wanadhani ni usalama wa taifa...........?.......
 
Mtafute Willy Gamba(namba moja) Veronica Amadu (secretary wa boss) au Sammy na Ray sikazwe
Ukiwapata hao waambie unataka kuwa pai
 
Mkuu unatudanganya,we fanya mambo mengine tu,mbona hufananishwi na mkulima hodari!! Lima acha mawazo finyu
 
Tatizi wewe ni 'hamis' ungekuwa john au william ingekuwa ni rahisi sana!
 
Mimi binafsi natamani sana kufanya kazi ya usalama wa taifa na watu wengi huwa wanahisi mimi ni mmoja wao. Nifanyeje ili nifike huko.
Qualification no. 1 ya kupata post ya kuwa shushushu hapa TZ, ni lazima uwe mwanachama mtiifu wa chama cha magamba.

Qualifications nyingine kama vile za 'madarasa' ni added advantages.

Lakini qualification no 2 ambayo nayo ni muhimu sana, itabidi uwe na relationship na angalau na mmoja wa vigogo wa hapa nchini.
 
Leta kadi ya hospitali, cheti cha kuzaliwa, vyeti vya elim yako, kuku mweusi mwenye bawa moja jeupe,samaki wa kutoka nungwi, sarafu ya zamani ya mjerumani, ushanga mweupe na maziwa ya ngamia pamoja na shilingi milion 3 kama kiingilio

Ofisi zipo mbezi kwa msuguri

Karibu sana

Ova
 
Nunua Rav 4, simu ya Samsung galaxy, vaa suti uchwara na uhakikishe wee ni mjinga wa kutupa. Ndizo sifa za wana usalama wa bongo
 
Back
Top Bottom