Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,184
- 1,914
- Thread starter
-
- #21
Hapana. Jambo lililonishtua ni hilo la yeye kuwa afisa usalama halafu mchawiIlitosha tu kusema baba mwenye nyumba yangu mchawi,, na si kusema usalama wa taifa mchawi
Nitarudi
Rejea kichwa cha habari cha uzi wakoHapana. Jambo lililonishtua ni hilo la yeye kuwa afisa usalama halafu mchawi
Pale idarani kuna vitengo vyote vyenye fani zote na wajuzi woteKuna mzee mmoja ana umri wa miaka 70 hivi. Ni mstaafu wa Idara ya usalama wa Taifa.
Mimi sifahamu vitengo vilivyo ndani ya idara hii, kwahiyo sijui ni kitengo gani ndani ya idara alichokuwa anafanya kazi lakini alikuwa humo.
Alikuwa ni Land lord wangu miaka kama minne iliyopita. Ni mzee lakini anaonekana ana nguvu.
Huyu mzee ni mchawi kupita maelezo. Ni mchawi konkodi.
Nyumba yake ina mauza uza. Usiku watu wanatembea juu ya bati, hulali ndani vurugu na vioja. Nilikuwa naota mandoto ya ajabu ajabu mara makaburi mara majoka.
Wakati mwingine mida ya usiku anatoka anachinja kuku, ama anaita watu wanajadili mambo fulani fulani kama wanateta. Mara unasikia kama kuna mtu anapandisha mapepo?
Baadae "wataalamu" wakanitonya kwamba mzee ni mchawi. Nilihama sikugeuka nyuma wala sikumuaga.
Hivi inawezekanaje watu muhimu wanaoshikilia moyo wa nchi wanakuwa wachawi?
Ama kwenye hiyo idara kuna kitengo cha uchawi?
Hebu Mshana Jr njoo utupe ufafanuzi hapa...
Mpaka leo nimepigwa na butwaa!!
Dooooohh!!Pale idarani kuna vitengo vyote vyenye fani zote na wajuzi wote
Na hii iko mpaka kwenye cycles za ulinzi popote anapokuwa kiongozi mkubwa
Wenzetu wa CIA, KGB nk wana mpaka project za nguvu za giza kwa ajili ya usalama wa taifa
Dawati la ufundi hata timu za yanga na Simba wanaloDooooohh!!
Kwahiyo huyu mchawi aliajiriwa kule kwa minajili ya uchawi wake?
Aisee.....Dawati la ufundi hata timu za yanga na Simba wanalo
Duh.Kuna mzee mmoja ana umri wa miaka 70 hivi. Ni mstaafu wa Idara ya usalama wa Taifa.
Mimi sifahamu vitengo vilivyo ndani ya idara hii, kwahiyo sijui ni kitengo gani ndani ya idara alichokuwa anafanya kazi lakini alikuwa humo.
Alikuwa ni Land lord wangu miaka kama minne iliyopita. Ni mzee lakini anaonekana ana nguvu.
Huyu mzee ni mchawi kupita maelezo. Ni mchawi konkodi.
Nyumba yake ina mauza uza. Usiku watu wanatembea juu ya bati, hulali ndani vurugu na vioja. Nilikuwa naota mandoto ya ajabu ajabu mara makaburi mara majoka.
Wakati mwingine mida ya usiku anatoka anachinja kuku, ama anaita watu wanajadili mambo fulani fulani kama wanateta. Mara unasikia kama kuna mtu anapandisha mapepo?
Baadae "wataalamu" wakanitonya kwamba mzee ni mchawi. Nilihama sikugeuka nyuma wala sikumuaga.
Hivi inawezekanaje watu muhimu wanaoshikilia moyo wa nchi wanakuwa wachawi?
Ama kwenye hiyo idara kuna kitengo cha uchawi?
Hebu Mshana Jr njoo utupe ufafanuzi hapa...
Mpaka leo nimepigwa na butwaa!!
NdioDooooohh!!
Kwahiyo huyu mchawi aliajiriwa kule kwa minajili ya uchawi wake?
Labda yule mzee enzi zake alikuwa aliwekea vinyesi wenziwe nje ya milango wakigombania safari za nje.Kuna mzee mmoja ana umri wa miaka 70 hivi. Ni mstaafu wa Idara ya usalama wa Taifa.
Mimi sifahamu vitengo vilivyo ndani ya idara hii, kwahiyo sijui ni kitengo gani ndani ya idara alichokuwa anafanya kazi lakini alikuwa humo.
Alikuwa ni Land lord wangu miaka kama minne iliyopita. Ni mzee lakini anaonekana ana nguvu.
Huyu mzee ni mchawi kupita maelezo. Ni mchawi konkodi.
Nyumba yake ina mauza uza. Usiku watu wanatembea juu ya bati, hulali ndani vurugu na vioja. Nilikuwa naota mandoto ya ajabu ajabu mara makaburi mara majoka.
Wakati mwingine mida ya usiku anatoka anachinja kuku, ama anaita watu wanajadili mambo fulani fulani kama wanateta. Mara unasikia kama kuna mtu anapandisha mapepo?
Baadae "wataalamu" wakanitonya kwamba mzee ni mchawi. Nilihama sikugeuka nyuma wala sikumuaga.
Hivi inawezekanaje watu muhimu wanaoshikilia moyo wa nchi wanakuwa wachawi?
Ama kwenye hiyo idara kuna kitengo cha uchawi?
Hebu Mshana Jr njoo utupe ufafanuzi hapa...
Mpaka leo nimepigwa na butwaa!!
ThibitishaKatika watu wanaongoza kwa uchawi TZ TISS ni wamoja wao, wengi wao ni wanga. Ndio mana huwa ni makatili sana
WeKawaida sana Kwa watu kama hao...