Uwanja wa ndege nilimuona jk akipeana mikono na wananchi mbali mbali.
nilishuhudia akiwapa mikono kila aliekaribu na yeye ni staili ya obama ya kusalimia.
miaka mingi imepita kuona rais wa tz akipeana mikono hata watu wa chini tena kwenye mkusanyiko wa watu mbali mbali
nilijiuliza kwanza kwanini?
lkn majibu yakwa ni simple
1) rais anaependwa na watu
2) rais mpenda watu
3) usalama wa nchi upo juu.
4) maisha ya watz angalau yamekuwa mazuiri kwa hivyo kila mtu anataka asalimianme nae