Usalama upo hapa?

Hajaanza ukubwan tabia hiyo kikawaida utakaliaje mti kama sio kudhihirisha ushoga wake
 
Usikute picha yenyewe kapigwa na mwanae
 
Fundi huyo. Ndio maana kaweka sementi mpaka kwenye madirisha.
 
Mwenyewe hana hata wasi ndio kwanza anazungumza na simu
 
Hahaha hapo wakuu mkumbuke chepeo/beleshi kuwa na mkono/sehemu ya kushikaa ambayo IPO kama pembe. Tatu sasa ndio amaikalia huyo ila imezibwa na makalio lol
 
Hahaha hapo wakuu mkumbuke chepeo/beleshi kuwa na mkono/sehemu ya kushikaa ambayo IPO kama pembe. Tatu sasa ndio amaikalia huyo ila imezibwa na makalio lol

nna mashaka na macho yako... tazama tenaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…