Usalama ni mini,kuna Aina ngapi za usalama

Mr faru john

Senior Member
Dec 22, 2016
173
298
Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu
Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi

Kuna Aina ngapi za usalama?

Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za usalama,siasa,dini,kazi,mchezo na n.k

Usalama hauna aina,katika Hali zozote tunapaswa kuwa katika utulivu na hii sasa ndiyo twaona umahiri wa taasisi hii

Watanzania wote tunapaswa kutamani Amani na utulivu katika Hali zozote,kwani ndio msingi wa Mambo mengine yote kutamalaki

Natamani kuandika mengi lakini nadhani tukielewa msingi huu tunaweza anzia hapa.......
 
Hebu soma tena ulichokiandika kwa utulivu, then ushuhudie mwenyewe kiwango cha ujinga wako!

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu
Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi
Kuna Aina ngapi za usalama?
Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za usalama,siasa,dini,kazi,mchezo na n.k
Usalama hauna aina,katika Hali zozote tunapaswa kuwa katika utulivu na hii sasa ndiyo twaona umahiri wa taasisi hii
Watanzania wote tunapaswa kutamani Amani na utulivu katika Hali zozote,kwani ndio msingi wa Mambo mengine yote kutamalaki
Natamani kuandika mengi lakini nadhani tukielewa msingi huu tunaweza anzia hapa.......
Vipi kuhusu usalama wa barabarani unaingia wapi?
 
Back
Top Bottom