Charles Mkubya
JF-Expert Member
- Aug 27, 2009
- 206
- 161
Ngoja sis kwanza tujipatie ubuyu ma kanisaniKwanza nianze na kusema kwamba, katika Marais naowaheshimu na kutamani kuwaona wakifanikiwa, basi huyu ni mojawapo.
Niko Kigali kwa muda, mambo niliyoyaona kwa muda mchache niliokaa hapa yanatosha kuelezea aina ya uongozi katika nchi hii.
Jambo kubwa ambalo nimelipenda sana ni usalama katika mji huu..sina hakika na kwingineko lakini kwa hapa Kigali, maafisa wa polisi na jeshi wako active 24 hours na hakuna wizi, uporaji au uhalifu kwa ujumla. Kwa ufupi ni sehemu ambayo waweza kuishi bila wasiwasi kuhusu usalama wako kama raia au mgeni.
Kiuchumi, ni nchi inayokua kwa haraka japo siwezi kuelezea kiundani sababu sina utafiti lakini ukiangalia tu projects, barabara, na services zingine zinatosha kukupa picha ya Rwanda kwa miaka ijayo.
Hivyo, binafsi na kwa niaba ya watu wanaoipenda Rwanda, niseme tunaona kazi kubwa mnayoifanya Wanyarwanda katika kuijenga nchi yenu chini ya Rais Kagame, na matunda yanaonekana, hivyo tunawatia moyo kwa umoja na uchapa kazi mlionao, na mwisho nimpongeze Rais wenu kwa kazi nzuri anayofanya..japo mimi sio mwanasiasa, lakini kuna vitu vingi nimejifunza toka kwake.
nchi ya MTU binafsi, mwambie awaachie huru hao aliowaweka gerezani, anajificha kwenye kivuli cha maendeleo ili maovu yake yasionekane, Rwanda baada ya kagame itarudi nyuma zaidi hata ilivyo kua mwanzo.Kwanza nianze na kusema kwamba, katika Marais naowaheshimu na kutamani kuwaona wakifanikiwa, basi huyu ni mojawapo.
Niko Kigali kwa muda, mambo niliyoyaona kwa muda mchache niliokaa hapa yanatosha kuelezea aina ya uongozi katika nchi hii.
Jambo kubwa ambalo nimelipenda sana ni usalama katika mji huu..sina hakika na kwingineko lakini kwa hapa Kigali, maafisa wa polisi na jeshi wako active 24 hours na hakuna wizi, uporaji au uhalifu kwa ujumla. Kwa ufupi ni sehemu ambayo waweza kuishi bila wasiwasi kuhusu usalama wako kama raia au mgeni.
Kiuchumi, ni nchi inayokua kwa haraka japo siwezi kuelezea kiundani sababu sina utafiti lakini ukiangalia tu projects, barabara, na services zingine zinatosha kukupa picha ya Rwanda kwa miaka ijayo.
Hivyo, binafsi na kwa niaba ya watu wanaoipenda Rwanda, niseme tunaona kazi kubwa mnayoifanya Wanyarwanda katika kuijenga nchi yenu chini ya Rais Kagame, na matunda yanaonekana, hivyo tunawatia moyo kwa umoja na uchapa kazi mlionao, na mwisho nimpongeze Rais wenu kwa kazi nzuri anayofanya..japo mimi sio mwanasiasa, lakini kuna vitu vingi nimejifunza toka kwake.
uliwahi kwenda Libya mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka mwishoni mwa 2000?
kama bado nakuambia wewe ni mchanga sana kwenye masuala ya watu na maendeleo.
stay turned .
Mkuu naomba uniulizie hali ya upinzani (vyama vya siasa) na Uhuru wa vyombo vya habari kisha nipe mrejesho
Nawe uri mu Rwanda?Urakoze cyane
Sawa mkuumlogolaje bahati mbaya sitopenda kuingia huko zaidi kwa maadili ya kazi yangu na pia sio mpenzi wa siasa!
Nimeangalia zaidi usalama wa raia na wageni...pamoja na shughuli za kiuchumi zinazoendelea hapa. Ukweli ni kwamba wanafanya vizuri sana katika maeneo hayo mawili ambayo kiufupi ni base nzuri kwa maendeleo ya nchi yoyote ile!
Nina shaka na jMali kama atakua positive[emoji23][emoji23]
Kwani yeye haioni hiyo hali halisi?Hahahahaha..najua anavyopenda kutoa data but mimi nimeongelea hali halisi ninayoiona hapa Kigali.
Kwani yeye haioni hiyo hali halisi?
Mbona huwatilii shaka akina mchambawima1?Inategemea mkuu, ukiiangalia kisiasa zaidi unaweza kuwa na mtazamo tofauti kama utaiangalia ukiwa hufungamani na mlengo wa kushoto au kulia..[emoji4]! Hivyo kama jMali ni mpinzani au mwanasiasa anaweza kuwa na upendeleo upande mmoja lakini kwa mimi nilie huru, naiona hali halisi.
Mbona huwatilii shaka akina mchambawima1?
Wewe utakuwa una asili ya huko au umeoa huko.Hahahahaha, was kidding but nina historia nae huyo jMali katika moja ya posts zinazohusu Rwanda, so nakumbuka sana comments zake