Usalama barabarani

Dah huyo abiria kama anataka kupiga msamba!
 
Nipependa ukaaji wa abiria, kama anaukalia
 
Kajipiga spana hakuna kupenya hapo
 
Khaaaah! Kuna usalama kwa abiria mbona huo msamba nahisi utampasua
 
Abiria miguu kaimanua sana.

Wanamtesa abiria
 
Duh, pia kuna hawa madereva wa toyo (boda boda za matairi matatu), mida ya usiku unakuta kabeba magodoro kama mia, Toyo wala dereva haonekani, unaona tu burungutu la magodoro linaenda huku yanatoa sauti tu ku tu ku tu ku tu kuuuuu! Huwa ni kicheko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…