Usajili wa Simba Sc kitendawili

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,469
Habari za weekend wakuu,
Tukiwa tunajiandaa kuhesabiwa baada ya burudani ya kesho huku league ikiwa imeanza kushika kasi ila pale lunyasi hali si swari kabisa.

Wakati ligi kuu nchini Tanzania ikiendelea kutimua vumbi na vilabu mbali mbali kukamilisha usajili muhimu katika team zao na wengine kuendelea kutafuta mbadala wa wachezaji walio ondoka hali imekuwa tofauti pale msimbazi kwani baadhi ya usajili unaonekana kutoendana na mfumo wa kocha.

Ukiangalia mechi tatu za simba zilizopita inaonuesha kocha mkuu wa simba bado hajapata kikosi cha kwanza katika team yake licha ya kuwapa nafasi wachezaji tofauti tofauti lakini kuna baadhi ya maeneo bado nikitendawili na amekuwa akijaribu wachezaji tofauti tofauti.

Ila kuna kitu cha kushangaza kidogo baada ya kocha kusema kuna wachezaji hawaendani na soka analotaka kufundisha yeye wengine ni wapya kabisa japo kuna wa zamani ila bado wana mikataba na team hyo ya mda mrefu hivyo kusalia mpaka mwakani kwani uongozi ulishasema kuvunja mikataba hyo ni gharama na mzigo kwa club,ila swali la kujiuliza ni nani anafanya usajili wa wachezaji wa simba maana kila mwaka wanafanya kosa linalo jirudia.

Mwaka jana simba iliingia sokoni na kufanya usajili kama kawaida na desturi za team nyingi duniani ili kuimarisha nafasi zilizokuwa na mapungufu lakini hata mwaka jana kuna wachezaji waliachwa bila kuwa na mda mrefu wa kucheza na wengine kutokucheza hata game moja kwa mfano:–
yule ABDUL SWAMAD na DUNCAN NYONI sasa ya mwaka huu ni kali wachezaji watano tena wote wapya kocha hajaona kitu yeye anamtaka mzungu tu kweli simba mwaka huu imeingia cha kike kwenye suala la kocha.

Team inasajili wachezaji nje na matakwa ya kocha aidha kwa mapenzi ya mtu binafsi au kwasababu mpinzani wake alikuwa anamtaka ila sio kwasababu ya kuziba nafasi inayohitajika kama kiungo mkabaji na striker kama mashabiki na wadau wa soka wanavyopiga kelele kila siku kuhusiana na udhaifu wa maeneo hayo ila simba haijafanya usajili wa maana kwenye eneo hilo.

Huku ikiwa umebaki mda mchache kabla ya mashindano ya Caf champions league kuanza simba wasiopofanyia kazi maeneo hayo basi mwaka huu safari itakuwa nyepesi sana kwa wana lunyasi kwani hata style ya mpira inayochezwa bado nikitendawili,
maana team inapata shida kwenda kushambulia na kupiga back pass nyingi zisizo na faida kwenye lango lake kwakweli jitihada za haraka zinahitajika otherwise yajayo yanafurahisha tujiandae kwa maumivu tena msimu huu.

NB: kocha wa mwaka huu wa simba asipoangalia yeye na mzungu wake watarudi kwao kabla ya derby asipobadilika yetu macho hatuna la kufanya .
 
Ajabu iko wapi?
 
Hivi nikuulize..
Wewe umezaa?
Umezaa wewe??????????????

😂😂😂Mzee magali!!!
 
Back
Top Bottom