njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
number 13 in africa according to CAF mko wapi vyura nyie?MBUMBUMBU SC
Alikuwa yanga akaenda namungo then ruvu shoting ila yanga walikuwa wamemtegesha ruvu shooting usajili wa miezi sita ili wamchukue usajili huu sema wamezidiwa kete.Huyo Edward katoka timu gani?
Trust me simba wakimtumia namba 4 au 5 atakuwa na faida sana huyu jamaa, mrefu na mpira anaujua.Mi nilidhani mmemsajili Ngolo Kante!!
[emoji2959][emoji2959][emoji2959]nyie
Timu ya Taifa na Ruvu Shooting akitokea Namungo. Hata mimi namkubaliHuyo Edward katoka timu gani?
Kwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?Kocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda ambaye kwa kweli sidhani kama kuna mtu anataka kuiona sura yake pale Msimbazi.
Sasa leo nasikia Edward Manyama kasaini miaka miwili, kama ni kweli HONGERENI SANA KAMATI YA USAJILI huyu abadilishwe awe anacheza nne au tano na sababu naturally ni namba 3 atakuwa ana mpa back up kubwa sana gadiel michael na zimbwe jr.
Hapo sasa kabaki Michael Phiri attacking midfielder wa zanaco kazi kweisha kabisa, na kiungo mkabaji mrudisheni fraga, wachukue nafasi za chikwende na kahata. Issue za shabi juma achana nazo namba mbili hata onyango na nyoni wanacheza hata ame Ibrahim aanze kuzoeshwa hiyo namba.
Kwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?
Kama itafanyika kama ulivyopendekeza bado idadi ya wageni itazidi 10, kama ifuatavyo:
1. Onyango
2. Wawa
3. Lwanga
4. Bwalya
5. Chama
6. Morriston
7. Milestone
8. Kaveri
9. Mugalu
10. Fraga
11. Michael Phiri
chikwende na kahata wanadondoka anaingia phiri na fraga...yes ushambuliaji ubaki vilevile nguvu ya simba ni midfiled mazeee,huyo phiri hata chama kikosekana utaelewa mziki wake..anaitwa moses phiri siyo michael nilikosea jina,duh kweli ukiweka kagere hapo idadi inazidi...duh
alishawahi cheza zamani akakosa nambaKwa kumbukumbu tu ,hivi Manyama hajawahi cheza Utopolo?
sitoi mtu aondoke chikwende aje moses phiri then kiungo mkabaji nitatafuta wa kibongo mwenye liumbo kama la protas wa namungo ila awe na akili ya mpira siyo kama protas,umbo kubwa la kimpira ila akili sifuriTukikupa nafasi ya kukata jina moja hapo unaondoka na la nani ?