1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 452
- 1,794
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii