Usajili wa NIDA

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,425
7,975
Nimesajili taarifa zangu mwezi mmoja uliopita,lakini mpaka sasa sijapata namba,kwa wajuzi wa mambo,je nifanyeje?,

Kuna watu wanasema kuna namba ya simu unapiga au kutuma sms unaletewa hiyo namba,je kuna anaefahamu hii kitu aniarifu?
natanguliza shukrani
 
Nenda kwenye website yao utapewaaelekezo ya kujua namba yako kupitia online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…