Mi nafikiri mambo kama haya ndio yanayokwamisha maendeleo ya soka hapa bongo,sasa imefika wakati serikali kukosha hawa wahuni walio#TFF na kwenye club wanaochezea sheria na ghushi.
Tatizo siyo simba, tatizo ni kale kasomali kanakopenda kutembea na bastola..! Simba naichukia ila haka kasomali nakachukia zaidi..!Mi nafikiri mambo kama haya ndio yanayokwamisha maendeleo ya soka hapa bongo,sasa imefika wakati serikali kukosha hawa wahuni walio#TFF na kwenye club wanaochezea sheria na ghushi.
Inaelekea msimu huu kutakuwa na vute nikuvute kuhusu usajili wa mchazaji Mrisho Ngasa.
Maadam yeye anasema kasajili Yanga tu, hapa kuna mambo mawili tu. Ama Ngasa kasaini timu zote mbili au viongozi wa Simba wamefoji usajili wake ili kumkomoa.
Safari hii hili suala lisimalizwe eti kwa kutumia busara. Kama kasaini mara mbili apate adhabu yake ya kufungiwa, lakini kama watu wamefoji usajili wake waadhibiwe. Tena bahati nzuri sasa kuna kamati ya maadili. Suala liende huko wahusika wafungiwe kujihusisha na mpira.
Lolote katika hayo, kuna kosa la jinai. Ama utapeli kwa upande wa Ngasa au viongozi waliofoji usajili wake. Pamoja na kamati ya maadili kufanya kazi yake, sheria zichukue mkondo wake ili upumabvu huu usirudiwe tena katika soka la Tanzania.

uichukie Simba ama umchukie Rage hiyo ni kivyako. Ngassa kama kweli amesaini mikataba ya Timu zote mbili afungiwe kucheza soka kwa mwaka siyo kuangalia ni upande upi umekamilisha document kama alivyonukuliwa akisema Katibu wa TFF vivyohivyo kama viongozi wa Simba kama wamefoji signature ya Ngassa nao wafungiwe.Tatizo siyo simba, tatizo ni kale kasomali kanakopenda kutembea na bastola..! Simba naichukia ila haka kasomali nakachukia zaidi..!
ka Ngasaa kamesajili Yanga ilihali kana mkataba Simba
Tanzania ni matapeli tu kamchezaji Kakiwa na jina kidogo tu Basi inakuwa vurugu katika swala la usajili mbona huko majuu hakuna huo ujinga na majina makubwa yapo. Hapa ni utapeli. Vilabu utapeli na Tff utapeli na wizara ya michezo utapeli mtupu
Nakumbuka vizuri ile siku ngassa anatambulishwa simba....kiongozi wa simba aliongelea hili...alisema tumemchukua kwa mkopo wa mwaka mmoja na tumemwongezea mwaka mmoja mwingine,ngasa hakuwahi kulipinga hili licha ya kusikia...lakini hata mm nilikuwa napata wakati mgumu sana kuelewa pale mechanism gani imetumika mpaka umetokea mkataba wa miaka miwili,nadhani ngassa aliuona huu udhaifu na akautumia....viongozi wa simba timu yangu si watu makini kabisa mwache aende tu jamaa kawazidi akili viongozi