Usajili wa kampuni

Usajili wa kampuni

Rashidtz

Member
Joined
May 30, 2019
Posts
6
Reaction score
7
Je, unahitaji kusajili kampuni yako hapa Tanzania na hauhitaji kukaa foleni na kuepukana na usumbufu wa kufika BRELA?
Basi kampuni pendwa ya Finespace and Business Consultancy Limited inakuweka karibu na BRELA kwa kufanikisha kukamilisha usajili wa kampuni yako kwa haraka bila ya usumbufu wowote.

Tunachohitaji kutoka kwako ni:
1. TIN na namba za kitambulisho cha taifa za wamiliki wa kampuni kuanzia wawili
2. Namba za simu na e-mail za wamiliki wa kampuni
3. Mahali wanapoishi wamiliki wa kampuni (mkoa, wilaya, kata na unapakana na sehemu gani maarufu) na anuani watakayoitumia. Kama hauna siyo kikwazo sana, unaweza kutumia hata ya jirani yako.
4. Jina la kampuni na shughuli kuu mtakazozifanya

Wasiliana nasi kwa namba 0718887102/ 0755440118/ 0713659828
Karibuni sana kwa ufafanuzi zaidi na kukamilisha usajili wako. Hata kama unaishi mkoani mbali na Dar es Salaam tutakufanikishia usajili wako.
 
Nataka kusajili NGO
Ni wazo zuri pia jitafuteni mfikie kuanzia watano na muandae katiba yenu na mtaanzia serikali za mtaa kujitambulisha, mtenda ofisi ya kata na katiba yenu mtaonana na afisa maendeleo ya jamii atawapa muongozo wa kusajili katiba yenu na mtafika mpaka Wizarani
 
Company by guarantee
Unachopaswa kutambua hizi zinapigwa vita endapo shughuli zenu hazitojihusisha na shughuli za kukuza biashara na uwekezaji. Na ilishauliwa kama unahitaji kufanya aina hiyo ya Kampuni ni heri usajili NG'O
 
Mbona hujaandika bei ?
 
Mbona hujaandika bei ?
BRELA gharama inategemeana na wewe unahitaji kuanza na share capital kiasi gani
Gharama zetu kuandaa documents na kusainisha kwa Mwanasheria mpaka usajili wako kukamilika ni Tshs 250,000
 
Je wajua ukisajili biashara yako itaongeza thamani kwa wateja wako na kuvutia makampuni mengine kufanya kazi na biashara yako?
Sajili sasa biashara yako kuwa Kampuni hili uweze kufanyakazi zaidi ya nne kama ilivyo kwa kusajili jina tu la Biashara, kama unahitaji kufanya usajili bado haujachelewa, unachohitajika kuwa nacho ni;
1. TIN na namba ya kitambulisho cha taifa
2. Jina unalohitaji kusajili
3. Mahali biashara itakapokuwepo na itakuwa sehemu gani maarufu
4. Mahali unapoishi na unapakana na sehemu gani maarufu
5. Shughuli kuu utakazozifanya
6. P.O.Box utakayoitumia na sio lazima iwe yako hata ya jirani yako

N.B
Kwa usajili wa Kampuni wamiliki wanaanzia wawili hivyo wote mtahitajika muwe na taarifa za hapo juu

Kea usajili wa Kampuni, gharama inategemea na share capital ya Kampuni unayohitaji kuanza nayo na sio lazima uwe nayo cash. Kwa share capital kuanzia Tshs 20,000 mpaka Tshs 1,000,000 gharama ya BRELA utalipia Tshs 167,200
Lakini hili kukamilisha usajili huu lazima uwe na Memorandum and Articles of Association, hivyo ukihitaji kufanyiwa usajili huu gharama yetu ni Tshs 250,000 hii ni pamoja na kuandaliwa Memart na kufanikishiwa usajili wako na kupatiwa nakala zote za usajili wako utakapokamilika.
Mawasiliano ya haraka unaweza kutumia 0718887102/0755440118/0713659828

Karibuni sana
 
Mimi ni Mfanyabiashara mdogo nauza reja reja je kusajiri company Business au business name itanisaidia nini kwenye kukuza Biashara yangu

Na je mapato TRA yatakuwaje?
 
Kila kitu kinafanyika kwa malengo na kukuza biashara yako ni mipango unayopanga kabla ya kuanza biashara yako. Na katika biashara usijiite wewe ni mdogo kikubwa ni kupambana kuikuza biashara yako na kuikuza biashara yako lazima uwe tayari kushirikiana na wafanyabiashara ambao unaona wakubwa, taasisi za fedha na mashirika mengine. Sasa hili ufanikishe hilo itapendeza biashara yako iwe inaendeshwa kisheria kwa kusajiliwa sasa kusajili jina la biashara tu au Kampuni inategemeana na malengo yako uliyojipangia kwa baadae na malengo ya baadae uanza sasa. Ukiwa Kampuni kodi inakatwa kulingana na faida unayoipata kwenye biashara yako kwa kulipia 30% ya faida yako lakini ukifanya biashara kwa kusajili jina tu la biashara kodi ukatwa kulinga na mapato yako na sio faida.

Karibu sana
 
Duh natamani Kama Ungefafanua vizuri zaidi
 
Mimi naomba elimu ya nini kampuni na ni shughuli gani ambazo zinaweza leta neno kampuni?
 
Kampuni ni moja ya mifumo ya uendeshaji wa biashara na shughuli zozote ambazo zinahusisha maswala ya kibiashara unaweza kusajili kuziendesha kama Kampuni

Back
Top Bottom