Usajili kwa biashara za mtandaoni

Usajili kwa biashara za mtandaoni

vicent01

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
100
Reaction score
94
Habari waheshimiwa.

Ndugu yenu apa nina swali nataka kujua kuusu site za BIASHARA mtandaoni kama vile Kariakoo mall nk.nataka kujua nazo zinalipiwaa?? Na ni Kiasi gan??

Au la bidhaa inayouzwa Mana inakua tayari na lisit kutoka duka ulilonunuA na wewe kumuuzia mteja wa mtandaoni???au kumtumia mkoani na lisiti??

Mana ndugu yenu nataka kuingia uko nataka kujua mapemaaaa
 
Back
Top Bottom