Usajili dirisha dogo 2022 NBC Premier League nani amezingua?

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Najua timu karibu zote zilifanya usajili.

Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana.

Simba ilijidai na chama.

Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu.

Je nani hadi sasa amefaidika na maingizo hayo mapya?
 
Mwanasimba wewe
Unataka tukubal kua chama mmeweza au?
Anyway kongole kwa mbea city wamefanya cha maana sana
 
Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari .
 
Back
Top Bottom