Usaili zimamoto

Usaili zimamoto

makini12

New Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari wakuu.. Kuna mtu atakuwa anafununu au taarifa zozote kuhusu lini jeshi la zimamoto watatoa majina kwa ajili ya usaili ya watu wa uraiani.? Nawasilisha..
 
Bado hakuna fununu! Hata mimi niko miongoni mwa wanaosubilia hayo majina yatakayopitishwa kwa ajili ya usaili
 
samahaniii jamani naomba kuuliza hivii zima moto huwa wanapatia wapi mafunzo ya kijeshi? (depo)
 
WAMESITISHA USAHILI ULIKUWA UFANYIKE 20/4/2016NA PIA HAWAJATOA TAARIFA YA NINI KINAENDELEA
 
Back
Top Bottom